Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini ... hasa yaliyoundwa na viongozi wa zamani wa Kihutu waliohusika katika mauaji ya Watutsi nchini Rwanda mwaka 1994, ambayo inasema yanatishia usalama wake.
Wakazi wa zamani wa visiwa vinavyoshikiliwa na Urusi wamehudhuria maandamano ya kutaka visiwa hivyo virejeshwe mapema kwa Japani, ambayo inaviita Maeneo ya Kaskazini. Takribani wakazi 750 wa ...
athari za mapigano yaliyotikisa mji mkuu wa Kivu Kaskazini wiki mbili zilizopita bado ziko kila mahali. Sio tu katika mazingira, lakini pia katika mawazo ya watu, hasa ndani ya familia ...
Maisha yake yalianza katika Siku ya Krismasi mwaka 1973, alipozaliwa katika mji wa ... oa mfalme wa muda mrefu Mobutu Sese Seko. Kwa niaba yake walimweka madarakani kiongozi wa zamani wa waasi ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa Windhoek ... nchini Ivory Coast chini ya Rais wa zamani Henri Konan Bedie.
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewasilisha muhtasari wa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha 2020-2025, akieleza hatua ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Forecast issued at 4:20 pm WST on Thursday 13 February 2025.
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo katika ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results