Februari 5, 1977, vyama vya TANU na Tanganyika na Afro Shiraz (ASP) cha Zanzibar viliungana na kuunda chama ... Kwa upande wake, Waziri wa zamani na mwanasiasa mkongwe nchini, Paul Kimiti anasema CCM ...
Jopo la mawakili wanane wanaomtetea Mwanasiasa mkongwe nchini ... ya kijamii ya X, zamani ikijulikana kama Twitter. Mwili wa Mtukufu Aga Khan IV umezikwa leo, Februari 9, 2025, katika mazishi ya ...
Urusi imesema vikosi vyake vimefanikiwa kuingia katika mji wa kimkakati wa mashariki mwa Ukraine wa Velyka Novosilka. Wizara ya ulinzi ya Moscow imesema hata hivyo kuwa mapigano bado yanaendelea ...
Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Maafisa wa usalama nchini Sudan Kusini wameweka amri ya kutotoka nje usiku baada ya maandamano kuzuka katika mji mkuu ... Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan ...
Gavana wa zamani wa Benki Kuu na mkuu wa zamani wa Gécamines alikuwa tayari amepigwa marufuku kuondoka nchini kwa ombi la mkuu wa Mahakama ya Ukaguzi wa Hesabu. Hatua hiyo ilibatilishwa na Baraza ...
kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu kwa uteuzi wake. Uteuzi wa Lissu unakuja wakati huu ambapo tofauti zikionekana kuibuka ...
Waasi wa vuguvugu la M23 wanasema wameudhibiti mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ... kwa sababu tulianza kukimbia zamani sana, "Bi Feza alisema na kuongeza: "Vita inatukuta hapa kati ya familia ...
Goma ni mji uliopo kwenye mpaka na nchi jirani ya Rwanda na ulikuwa ngome siyo tu ya vikosi vya serikali lakini pia ya vikosi vya walinda amani vilivyopelekwa mjini humo na Umoja wa Mataifa, UN na ...
Katika kinyang'anyiro cha tiketi ya chama cha Republican, rais wa zamani Donald Trump anakabiliwa na mashtaka manne ya uhalifu, hali ambayo haijawahi kutokea kwa rais wa zamani wa Marekani.
Umoja wa Mataifa kupitia ujumbe wake wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, umeunga mkono serikali la jimbo la Kivu Kaskazini kwa kufanikisha miradi ya kusaidia jamii kiuchumi.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameridhia kupandishwa hadhi Halmashauri ya Mji wa Kibaha ... huku ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results