Wanajeshi wawili wa Tanzania wameuawa katika mapigano katika siku 10 zilizopita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefayika siku ya Jumamosi Februari 8 katika ...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere. BUNGE limeazimia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa kina katika miradi yote yenye changamoto ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa Windhoek, kiongozi ...
NCHINI Congo DRC ni vilio, watu duniani wakiangalia runinga machozi yanawatoka wakisikitika ni miaka mingi zaidi ya 20 nchi ...
Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini DRC baada ya waasi wa M23 kuteka sehemu ya mji mkuu wa Goma na kusababisha ...
Waziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza mamlaka zinazohusika na kutoa vibali vya ujenzi ikiwemo mipango miji, kutokutoa ...
Ushindi huu unaifanya Tanzania kuthibitisha uwepo wa wataalamu wake wenye sifa za kushika nafasi za uongozi wa kimataifa. Ni ...
CHAMA cha Wamiliki wa Malori Wadogo na Wakati Tanzania (TAMSTOA), wameiomba Serikali kushughulikia changamoto zinazowakabili ...
MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
KAMPUNI ya Halotel imewakabidhi tiketi za ndege kwa washindi wa ‘Vuna Pointi Twenzetu Dubai’kwa ajili ya safari ...