MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tahadhari za kimazingira na namna watu wanavyoweza ...
Baba mzazi wa marehemu ... zake ili kuhakikisha yanatimia na kuleta manufaa aliyokuwa anayatarajia. Mzee Magoma amebainisha hayo leo Jumatatu Februari 10, 2025 kwenye ibada fupi ya kumuaga aliyekuwa ...
na DAWASA katika Wilaya ya Bagamoyo. Amesema kuwa lengo la Rais Samia Suluhu Hassan, ni kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama karibu na makazi yao, jambo ambalo Mkoa wa Pwani linaendelea ...
Takriban watu 17, wakiwemo watoto 12 wamefariki katika kijiji cha Badhal katika wilaya ... ahadi zake za kimkataba na viwango vya faragha na ililenga kupunguza uchunguzi wa umma".
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametangaza kwamba Krismasi itaanza mapema mwaka huu, Oktoba 1, akiitaja kama njia moja wapo ya kutoa shukrani zake ... na mji wa Boulogne-sur-Mer, walinzi wa pwani ...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeandika historia kwa kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kidunda ...
Kwa upande wa maisha ya utumishi, Wasira alifanya kazi akiwa msaidizi wa masuala ya maendeleo ya jamii na alianza kukitumikia Chama cha Tanu akiwa Katibu wa wilaya mwaka 1967 ... Ali Hassan Mwinyi ...
Kufikia saa 11 asubuhi leo Jumapili, kina cha theluji kilikuwa kimefikia sentimita 315 katika mji wa Uonuma katika Mkoa wa Niigata na sentimita 311 katika Mji wa Nishikawa katika Mkoa wa Yamagata.
Siku tatu baada ya kuteuliwa na Mkuu wa Nchi, Félix Tshisekedi, Meja Jenerali Evariste Kakule Somo amehamia Beni, kaskazini mwa mkoa wa Kivu Kaskazini, Ijumaa hii, Januari 31. Kutokana na kuwepo ...
Marekani imeonya kuhusu uwezekano wa kuwekewa vikwazo maafisa wa Rwanda na Kongo kabla ya mkutano wa kilele unaonuiwa kushughulikia mzozo unaoongezeka mashariki mwa Kongo, kulingana na barua ya ...
Mkusanyiko wa hewa ya baridi kali zaidi ya msimu huenda ikazidisha kudondoka kwa theluji na upepo kwenye pwani ya Bahari ya ... kuwa sentimita 50 katika mkoa wa Hokkaido, sentimita 40 katika ...