MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tahadhari za kimazingira na namna watu wanavyoweza ...
Siku tatu baada ya kuteuliwa na Mkuu wa Nchi, Félix Tshisekedi, Meja Jenerali Evariste Kakule Somo amehamia Beni, kaskazini mwa mkoa wa Kivu Kaskazini, Ijumaa hii, Januari 31. Kutokana na kuwepo ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada kwa watu wa Palestina UNRWA limesema jana Alhamisi kwamba shughuli zake huko Gaza na Ukingo wa Magharibi zinaendelea licha ya marufuku ya Israel. Msemaji wa ...
31.01.2025 31 Januari 2025 Wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki hufurahia kitinda mlo hiki hasa majira ya jioni, kinaandaliwa kwa namna tofauti lakini walaji wanasema wanavutiwa zaidi na ile ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa. Amesema hatua hizo ...
na DAWASA katika Wilaya ya Bagamoyo. Amesema kuwa lengo la Rais Samia Suluhu Hassan, ni kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama karibu na makazi yao, jambo ambalo Mkoa wa Pwani linaendelea ...
Baadhi ya wajumbe wa baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Pwani na uongozi wa Umoja wa wanawake Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani wakifanya maombi nyumbani kwa familia ya mtoto mchanga aliyeibwa tangu Januari ...
Katika mahojiano ya kipekee na RFI, kupitia kwa mtu anayeaminika, Seif al-Islam, mtoto wa mwisho wa Kanali Gaddafi, anavunja ukimya wake. Mnamo mwaka 2018, alitoa mahojiano kwa Gazeti la New York ...
Kwa upande wa maisha ya utumishi, Wasira alifanya kazi akiwa msaidizi wa masuala ya maendeleo ya jamii na alianza kukitumikia Chama cha Tanu akiwa Katibu wa wilaya mwaka 1967 ... Ali Hassan Mwinyi ...
Mkoa wa Dodoma, Bi Nasriya Alli aliainisha namna ambavyo wanatekeleza tafiti hiyo mkoani humo kuanzia hatua ya kukutana na uongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji, kuainisha mipaka ya ukusanyaji wa ...
Maafisa wa vikosi vya walinzi wa pwani vya Japani na India wamefanya mazoezi ili kudhibiti umwagikaji wa mafuta na vitu vingine, wakitazamwa na wenzao kutoka Marekani na Australia. Wachambuzi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results