TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ...
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo ...
Angalizo la upepo mkali wa kilomita 40 kwa saa na mawimbi yanayofikia mita mbili limetolewa katika maeneo ya ukanda wa Pwani ...
Angalizo la upepo mkali wa kilomita 40 kwa saa na mawimbi yanayofikia mita mbili limetolewa katika maeneo ya ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani ...
1982 aliteuliwa kuwa Ofisa Mwandamizi katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC na aliporejea nchini aliteuliwa na Rais wa wakati huo, Ali Hassan Mwinyi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani mwaka 1990 hadi 1991.
Hayo yamejiri wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kwa maofisa hao waliyoajiriwa na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT ... Mikoa hiyo ikiwemo Mtwara, Lindi, Pwani, Ruvuma na Tanga ambapo kati ya hao ...
Mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika ulioanza siku ya Ijumaa nchini Tanzania unaweza kuwaleta ... msukumo kuelekea mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu ...
Mkutano huu ambao umethibitishwa na rais wa Kenya, William Ruto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye ... maeneo ya hifadhi zilizo chini ya usimamizi wa taasisi hiyo, na kwa Mkoa wa simiyu madawati hayo ...
Maafisa wa hali ya hewa ... wa Hikone katika Mkoa wa Shiga na sentimita 19 katika Mji wa Sekigahara katika Mkoa wa Gifu. Theluji inatabiriwa kuendelea kudondoka kando ya pwani ya Bahari ya Japani ...