Maafisa wa hali ya hewa ... wa Hikone katika Mkoa wa Shiga na sentimita 19 katika Mji wa Sekigahara katika Mkoa wa Gifu. Theluji inatabiriwa kuendelea kudondoka kando ya pwani ya Bahari ya Japani ...
Takribani wakazi 750 wa zamani wa visiwa hivyo, jamaa na watu wengine walikusanyika katika maandamano hayo ya kila mwaka yaliyofanyika mjini Nemuro katika mkoa wa kaskazini mwa Japani wa Hokkaido ...
Marekani imeonya kuhusu uwezekano wa kuwekewa vikwazo maafisa wa Rwanda na Kongo kabla ya mkutano wa kilele unaonuiwa kushughulikia mzozo unaoongezeka mashariki mwa Kongo, kulingana na barua ya ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekwama vitani, wanamgambo wa kundi la M23 limekuwa vitani dhidi ya jeshi la kitaifa na kudhibiti sehemu muhimu zote kwa mkoa wa mashariki. Katika kipindi cha ...
Congo na Rwanda wamekuwa wakilaumiana kwa mzozo ulioanza tena mashariki mwa Congo, ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji mkuu wa mkoa Goma ... Walinzi wa Pwani wa Marekani ...
Hata hivyo, barabara ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga haijajumuishwa kwenye bajeti hiyo. Meneja wa TARURA Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi Samson Pamphil, amesema barabara hiyo haikuwa ...
Zaidi ya Sh15 bilioni zimetengwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa mizani wa kupima uzito wa magari utakaowabana madereva wanaopitisha kinyemela mizigo mikubwa katika eneo la Kizengi lililopo Wilaya ya ..
Golugwa amesema mazishi ya Dk Magoma yatafanyika Jumanne, Februari 11, 2025, katika mji wa Magugu, Kijiji cha Matufa, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara na kwamba Mwenyekiti wa Chadema-Taifa, Tundu ...
Rais huyo alikuwa akizungumza katika mafunzo ya huduma za dharura kwa wakunga kutoka katika zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, za mkoa na ... Mratibu huyo amesema mkoa wa Dar es Salaam kwa ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...