Katibu Tawala Sehemu ya Uchumi na Uzalishaji, Musiba Nandiga, ameiambia Nipashe kwamba, ameshawasilisha hilo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo hiyo mjini Musoma hivi karibuni. "Mkoa wetu ...
Mkoa wa Pwani, pamoja na wadau wengine wa mkoa huo. Tume ya Rais Maboresho ya Kodi yapokea maoni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, akifungua mkutano wa kukusanya maoni hayo amemshukuru Rais Dk.
31.01.2025 31 Januari 2025 Wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki hufurahia kitinda mlo hiki hasa majira ya jioni, kinaandaliwa kwa namna tofauti lakini walaji wanasema wanavutiwa zaidi na ile ...
Bagamoyo. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma ya kusambaza video za utupu maarufu ‘connection’ zinazodaiwa kuwa za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab. Hayo yamesemwa ...
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Ester Mahawe ukiwa tiyari kwenye eneo la makaburi kwa ajili ya maziko nyumbani kwake eneo la ngaramtoni ya chini jijini Arusha, picha na Bertha ...
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House leo Jumatatu Januari 20, 2025, punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa Marekani. Siku ya kuapishwa itajumuisha sherehe ...
Kwa upande wa maisha ya utumishi, Wasira alifanya kazi akiwa msaidizi wa masuala ya maendeleo ya jamii na alianza kukitumikia Chama cha Tanu akiwa Katibu wa wilaya mwaka 1967 ... Ali Hassan Mwinyi ...
SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dk Fatma Mganga wamefanya ziara kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule za msingi na sekondari.
Chibulunje. Mhandisi Chibulunje alisema katika tafiti ya pili iliyofanyika mwaka 2020 hali ya upatikanaji wa umeme vijijini ilikuwa ni asilimia 69.6. Akizungumzia namna ambavyo zoezi hilo linafanyika ...