Kwa sehemu kubwa makala ya mtazamo wako imeangazia kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na mkutano wa pamoja kati ya jumuia ya Afrika mashariki EAC na jumuia ya Nchi za ...
kwenye makala ya leo tunaangazia hatua ya wakuu wa nchi za #SADC na EAC kutaka kusitishwa mapigano maramoja ,na kutaka kuondoka kwa vikosi vya kigeni mashariki mwa #DRC, pamoja na Serikali ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya kiserikali kujumuishwa katika mazungumzo. Lizzy Masinga na Martha Saranga ...
Nchi Jirani, maslahi ya watu wengine nje ya Afrika, kuna wadau wengi katika mazingira ya wadau wa Congo," anasema Dr Maundi Chanzo cha picha, Getty Images Mkutano unaofanyika mwisho wa wiki hii wa ...
The UN General Assembly (UNGA) is the main policy-making organ of the Organization. Comprising all Member States, it provides a unique forum for multilateral discussion of the full spectrum of ...
Akizungumza katika mkutano wa dharura jana jijini Dar es Salaam uliolenga kujadili mgogoro huo wa DRC ili kutafuta suluhisho la kudumu na kurudisha amani katika nchi hiyo, Rais wa Kenya, William Rutto ...
KONGAMANO la Mkutano wa 11 wa Afrika Mashariki la Petroli (EAPCE 2025) linatarajiwa kufanyika Machi 5-7 mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam ...
Mbali na kumpata Makamu Mwenyekiti Bara, Mkutano Mkuu Maalum unatarajia kupokea taarifa za utekelezaji wa kazi za serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa kipindi cha mwaka ...
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kuachia ngazi ya urais Zanzibar.
CONGO : SERIKALI ya DRC imetoa shukrani kwa mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ambao ulitoa taarifa ya pamoja ikizitaka ...
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi hajawasili kuhudhuria mkutano wa kujadili amani ya nchi hiyo badala yake atawakilishwa na Waziri Mkuu wake, Judith ...
Sorry, no image available. Contact agent for more details.