MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametaka kuwepo kwa ushirikiano kati ya Serikali na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS ...
SERIKALI mkoani Tabora, imeiomba Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), kujenga maabara ndogo ya uchunguzi ...
mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, ameshutumu, pia akiishutumu Rwanda kuwa "maabara ya ukosefu wa utulivu katika eneo la Maziwa Makuu". Baada ya kuiteka Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini ...
Mjini Bukavu, wiki tatu baada ya waasi wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, kuuteka mji huo, watu wanauawa na nyumba kushambuliwa na majambazi wenye silaha karibu kila jioni. Kulingana na mashahidi ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba wabunge wa Bunge la Tanzania kuunga mkono agenda mbalimbali za maendeleo ...
Joto la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limeendelea kupanda jijini Arusha ambapo Paul Makonda na Mrisho Gambo wanatajwa kuwa katika mvutano wa kuwania ubunge. Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha na ...
Watu watatu walijeruhiwa katika Mkoa wa Sumy, mamlaka za mitaa ziliripoti . Usiku, mkuu wa utawala wa kijeshi wa mkoa wa Kiev, Nikolai Kalashnik, aliandika katika kituo chake cha Telegram kwamba ...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Beedweyne,eneo ambalo limeshambuliwa iko kilomita 335 kaskazini mwa Mogadishu ikiwa mji mkuu wa mkoa wa Hiran na imekuwa eneo lililofanya kampeini dhidi ya Al-Shabab ambao wanaungwa mkono na Al ...
Dorothy Gwajima anasema ni rahisi kusema utumie mabavu kwa kupeleka polisi wawakamate wanajamii lakini kwa uzoefu wake, “jamii hazijengwi hivyo” na anatoa mfano wa mkoa wa Mara ... badala ya mabavu ...