Mkutano huu ambao umethibitishwa na rais wa Kenya, William Ruto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
Amesema kabla ya kupewa heshima hiyo, Nujoma alikuja Tanzania wakati huo bado hajawa Rais, akiwa yupo kwenye harakati za kudai uhuru, ndipo Mwalimu Nyerere akampa heshima hiyo. "Mwalimu alikuwa ...
Viongozi hao licha ya kutofafanua kuhusu ujumbe wa mawaziri wa Ulinzi na wakuu wa majeshi, wametoa salamu za rambirambi kwa DRC, Malawi, Afrika Kusini, na Tanzania kuhusiana na wanajeshi ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Mtu mmoja ambaye alikuwa akigua ugonjwa wa Marburg amegunduliwa nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano na katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, Rais Samia ...
Mhandisi Mkuu wa Usafiri wa AfDB nchini Tanzania, Mumina Wa-Kyendo, amesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya fedha hizo zitatengwa mahsusi kwa miundombinu ya usafiri, ikiwemo barabara, reli na viwanja vya ...
Mfalme alitembelea Mongolia mwaka 2007 alipokuwa mwana mfalme. Alizuru mnara wa ukumbusho wa watu wa Japani waliopoteza maisha wakati wa kuanguka kwa Soviet baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan confirmed on Monday that there was a new outbreak of the deadly Marburg virus in the East African country. One "confirmed case of Marburg virus marks the ...
Image courtesy CDC/Dr. Fred Murphy, Sylvia Whitfield, 1975. A human sample in Tanzania has tested positive for deadly Marburg virus, confirming the disease is present in the African country.