Ukuaji wa pato la Taifa Tanzania unatarajiwa kuongezeka hadi kufikia asilimia 6 mwaka huu kutoka asilimia 4.7 mwaka 2022, ...
SERIKALI imesema Sh trilioni 67 zimewekezwa kwa miaka minne katika miradi ya uwekezaji nchini. Aidha, katika kipindi ...
PWANI: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema vijana zaidi ya 1,000 wameajiriwa ... huku mapato yake yakifikia Sh trilioni 2 katika miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Aidha, ...
Bandari Kavu ya Kwala, iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani, imeanza kuhudumia wastani wa kontena 823 kwa siku, sawa na ...
MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa, Michezo, Gerson Msigwa, amesema mchakato wa ...
WIKI iliyopita Watanzania walipata habari ya kushtusha baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutangaza ...
"Nitazungumza na Rais Putin siku ya Jumanne," Donald Trump amewaambia waandishi wa habari ndani ya ndege ya rais, Air Force One, na kuongeza kuwa "kazi kubwa imefanywa." "Mambo mengi tayari ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumza na wanahabari mjini Moscow jana Alhamisi baada ya mkutano wake na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko. Alisema: “Tunakubaliana na pendekezo la kusitisha ...
Na katika muktadha wa mivutano ya kidiplomasia, haswa na Marekani, Rais wa Baraza la Ulaya, Antonio Costa, amekumbusha umuhimu wa ushirikiano huu: "Leo, ushirikiano wa uaminifu ni muhimu zaidi ...
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, masharti ambayo yanakosolewa na Ukraine. Na Dinah Gahamanyi & Asha Juma ...
Aidha, kikao hicho cha SADC kilitambua uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, ambao walionekana kuwa na mchango mkubwa katika kuratibu ajenda ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results