Ukuaji wa pato la Taifa Tanzania unatarajiwa kuongezeka hadi kufikia asilimia 6 mwaka huu kutoka asilimia 4.7 mwaka 2022, ...
Kwa kauli ya viongozi wa serikali karibu wote, wanataja miundo mbinu kama sehemu muhimu ya kuhakikisha tatizo la umeme nchini ...
SERIKALI imesema Sh trilioni 67 zimewekezwa kwa miaka minne katika miradi ya uwekezaji nchini. Aidha, katika kipindi ...
PWANI: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema vijana zaidi ya 1,000 wameajiriwa katika kiwanda cha SinoTan ...
Bandari Kavu ya Kwala, iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani, imeanza kuhudumia wastani wa kontena 823 kwa siku, sawa na ...
AGOSTI, mwaka 2021 ndiyo ulikuwa mwisho wa utawala wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe ...
MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa, Michezo, Gerson Msigwa, amesema mchakato wa ...
Saa chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutangaza kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeufungia kwa muda Uwanja wa Benjamin Mkapa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamadu ...
"Nitazungumza na Rais Putin siku ya Jumanne," Donald Trump amewaambia waandishi wa habari ndani ya ndege ya rais, Air Force One, na kuongeza kuwa "kazi kubwa imefanywa." "Mambo mengi tayari ...
Uchaguzi wa rais na wabunge nchini Guinea-Bissau utafanyika tarehe 23 Novemba. Wiki moja mapema kuliko tarehe ya Novemba 30 iliyotangazwa hapo awali. Hii inabainishwa na agizo kutoka kwa rais.
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, amekutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, kwa mazungumzo kuhusu mzozo unaolikumba eneo la mashariki mwa Kongo. Rais ...