Katika kutetea hoja yake, anakumbusha kuwa bunge liliwahi kuitishwa kwa dharua Jumamosi ukumbini Karimjee kuidhinisha hoja ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na hata leo upo. “Katiba inasema bunge ...
Marekani imeonya kuhusu uwezekano wa kuwekewa ... silaha na kuwaunga mkono waasi. Rwanda imeendelea kukanusha madai haya. Mwezi Julai, Idara ya Fedha ya Marekani iliweka vikwazo kwa Muungano ...
Nchini Israeli, watu wamepigwa na mshuko kufuatia kuachiliwa kwa wale waliokuwa mateka watatu wa zamani, anaripoti mwandishi wetu katika Jerusalem, Michel Paul. Wanaume watatu, wameonekana hali ...
Badala yake, ameacha hotuba za umma na matamko kwa msemaji wake, na Corneille Nangaa, ambaye anasimamia muungano wa vikundi vya waasi ikiwemo M23. Lakini Makenga bado ni muhusika muhimu ...
Miji hiyo inapakana na Rwanda. Goma ni mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, wakati Bukavu ipo jimbo la Kivu Kusini. Miji hiyo miwili ni mada kuu ya machafuko ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Severe tropical cyclone Zelia lies offshore from the Pilbara coast and is moving slowly westwards. The system is forecast to turn south overnight and track towards the Pilbara coast, crossing the ...
Miaka kumi iliyopita, maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yalitambua ukweli wa kimsingi; ushiriki wa wanawake ni muhimu kwa ajili ya kujenga ulimwengu ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...