CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetambulisha wagombea wake wa nafasi ya urais huku kikiweka wazi mikakati mitano ya kuendelea kubaki madarakani huku kipaumbele kikiwa kuondoa tatizo la ajira kwa vijana k ...
Kwa upande wake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kusaidia mipango yote ya kidemokrasia ili kukomesha mapigano nchini Kongo.
MAKAMU Mwenyekiti wa (CCM) Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, amewataka wana-CCM kuhakikisha chama hicho kinaendelea kushika dola ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
mjini Zanzibar. Makamu Mwenyekiti huyo alisema wanapozungumzia mabadiliko ya sheria ili kuwapo wagombea huru kwa nafasi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na wabunge si jambo linalowanufaisha ...
Miongoni mwa maagizo yake, Mahakama imeitaka Tanzania kutunga mpango wa kitaifa wa kulinda watu wenye ualbino, kwa kuzingatia Mpango wa Muungano wa Afrika wa Kukomesha Mashambulizi na Ukiukwaji ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka ...
Nao wanafunzi wa shule ya Lung’wa iliyopo wilaya ya Itilima wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa madawati hayo ambayo wamesema ...
RAIS Dk Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha ...
Mkutano wa Dar es Salaam, unatarajiwa kwa mara ya kwanza kumkutanisha rais Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda ... Wakati Tshisekedi akitarajiwa Tanzania, haijafahamika ikiwa rais Kagame atasafiri ...
Maoni ya Moriyama yamekuja wakati serikali na muungano wa vyama vinavyotawala vikifikiria kuwapeleka wabunge kwenye mkutano huo. Wakati huo huo, serikali inasisitiza msimamo wake wa kutohudhuria ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results