Kaimu Kamanda Akama alisema kuwa uchunguzi wa haraka ulibaini kuwa Sikaluzwe siyo askari polisi, bali ni mgambo aliyekuwa anajifanya askari kwa malengo ambayo hayajathibitishwa. "Jeshi la Polisi Mkoa ...
Kuongezeka kwa mvutano huu kunakotokea baada ya kushambuliwa kwa raia wa Sudani Kusini na watu wenye silaha waliovalia sare za jeshi la Sudani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudani Kusini imekariri ...
vitengo vya SAF vimepiga kambi katika eneo la Al-Shajara, kusini-magharibi mwa Khartoum, wanapojaribu kusonga mbele huko kaskazini kuelekea katikati ya mji wa Khartoum. "Jeshi linajaribu kufika ...
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz anasema ameliagiza jeshi la nchi hiyo kuandaa mpango utakaowawezesha wakazi katika Ukanda wa Gaza kuondoka eneo hilo kwa hiari. Katz alitoa maoni hayo jana ...
Mwezi Desemba mwaka jana, maafisa wawili wa jeshi la Urusi, akiwemo jenerali wa ngazi ya juu, waliuawa katika mlipuko jijini Moscow. Mamlaka za usalama nchini Urusi zilisema zilimweka kizuizini ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 wamedai kuuteka mji huo. Msemaji wa serikali ya Kongo Patrick Muyaya ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekwama vitani, wanamgambo wa kundi la M23 limekuwa vitani dhidi ya jeshi la kitaifa na kudhibiti sehemu muhimu zote kwa mkoa wa mashariki. Katika kipindi cha ...
The Upper House MP, formerly known as Ben Dawkins, legally changed his name on January 29 to Austin Trump in what he said was a protest of the WA Labor government. Austin “Aussie” Trump’s ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) limesema leo kwamba wanajeshi wake walioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watajiweka katika hali ya kujihami, wakati mapigano yakizidi ...
About 60 dogs and cats arrived in Seattle on Sunday and will be sheltered at Seattle Humane. The LA-based nonprofit Wings of Rescue flew the animals to Washington. To learn more about how to adopt ...