Ni jambo la kushangaza lakini ni kwa mtindo huu wa fikira ndio umeamsha shauku ya mkurugenzi wa maabara ya Mayo Clinic huko Rochester, Minnesota. Sehemu kubwa ya kazi yake ni kusoma mifumo ya seli ...
Mmoja wa wataalamu wakubwa wa afya nchini Tanzania, Profesa Mohamed Janabi, ametangazwa rasmi kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika.
PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika. Prof.
Dar es Salaam. Profesa Mohamed Janabi, ametangazwa rasmi kuwa mmoja wa wagombea watano kwa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Taarifa hiyo imetangazwa rasmi ...
Rais Dk Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF), Catherine Russell, leo Machi 11, Ikulu Chamwino mkoani ...
Nairobi. Geoffrey Odundo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Nation Media Group (NMG). Akitoa tangazo hilo kwa niaba ya bodi leo Jumatatu, Machi 10, 2025, Mwenyekiti ...
MANCHESTER, ENGLAND: MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Omar Berrada amesema kocha Ruben Amorim ameanza kujadiliana na mabosi wa klabu juu ya mipango ya dirisha lijalo la usajili wa majira ...
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Emmanuel Ishengoma amesema waandishi wa habari wakielewa maadili na miongozo juu ya kazi wanazotengeneza kama ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Bob Pierce, PhD ni mwanzilishi mwenza na Afisa Mkuu wa Sayansi katika DecisionNext. Kazi yake imeleta uchanganuzi wa hali ya juu wa hisabati kwa masoko na tasnia mpya kabisa, kuboresha njia ambazo ...