Kawawa ambaye pia ni mbunge wa Namtumbo (CCM), amezitaja athari nyingine ni kushamiri kwa uhalifu wa kutumia bodaboda kutokana na kuwepo kwa waendesha bodaboda wasiosajiliwa ambao hutumiwa na wahalifu ...