Na mwanahabari wetu mjini Cape Town, Valentin Hugues Mkutano huu haujafanyika tangu mwaka 2018. Na katika muktadha wa mivutano ya kidiplomasia, haswa na Marekani, Rais wa Baraza la Ulaya, Antonio ...
Wakati mamlaka ya Niger tayari imetaja ushirikiano mpya na Urusi, Uturuki au Iran kwa kuiuza, hakuna shaka kwamba suala hilo lilikuwa kiini cha majadiliano. Inatokea sasa hivi ...
"Kulikuwa na ubadhirifu. Kulikuwa na usimamizi mbaya na tulizungumza kuhusu hilo. Tulipata fursa ya kwenda mahakamani. Leo, kuna utawala mbaya, lakini tunaishi kwa hofu na ukimya." Justin ...
Na Dinah Gahamanyi & Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, ACT Kundi la vyama vya upinzani barani Afrika kupitia Jukwaa la Demokrasia Afrika (PAD), limetaja kitendo cha serikali ya Angola ...
Kupitia kampeni ya ‘Shangwe Popote’, Vodacom iliwarejeshea nauli wateja 194 waliokuwa wakisafiri kwa mabasi baada ya kununua tiketi kwa M-Pesa, ikiwapunguzia gharama za safari kwenda Moshi, Arusha, ...
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu amegusia taarifa ya Klabu ya Yanga kuwa inataka kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), kudai pointi tatu za mchezo wa Kariakoo Dabi ambao ...
Namna mauaji yalivyofanyika ni wazi nia ovu ilikuwepo,” amesema. Jaji Mpaze amesema: “Mshtakiwa alitumia mkuki kumpiga nao marehemu kabla ya kwenda kutenganisha kichwa, kiwiliwili na miguu kwa kutumia ...
JUZI, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) lilitia saini makubaliano ya ukusanyaji wa taka za plastiki na Kampuni ya 𝗚𝗔𝗜𝗔 𝗖𝗟𝗜M𝗔𝗧𝗘 ya Uturuki ... taka za plastiki na ...
Stars itacheza mchezo huo ugenini imejumuisha wachezaji wanaocheza ndani na nje ya nchi wakiwemo kutoka ligi za England, Denmark, Australia, Irak, Uturuki na Morocco ... “Tunataka nafasi ya kwenda ...
“Gondwe ndiye akaniunganisha na Abdallah Mwaipaya ambaye alikuwa bado TBC kabla ya kwenda radio One, basi Mwaipaya akaniambia pale TBC FM (wakati huo PRT) wanahitaji watangazaji hasa wa Kiingereza na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results