Dakika 30 zilimtosha kunadi hoja yake jijini Dar es Salaam, kabla ya kwenda kwenye kinayang’anyiro kufikia jukumu alilofanikiwa kulipata, sasa anaandaa safari mpya kuelekea Afrika inayotakiwa na ...
"Nimeomba mashauriano ya WTO na serikali ya Marekani kuhusu ushuru wake usio na msingi kwa Canada," ameandika kwenye mtandao wa Linkedin. Siku ya Jumatano afisa wa WTO amethibitisha kuwasilishwa ...
SERIKALI ya Uturuki chini ya Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) lililopo Tanzania limetoa gari la kubebea wagonjwa ‘ambulance’ kwa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) yenye ...
Shirika la habari la serikali ya Urusi la Tass limeripoti kuwa mkutano huo ulifanyika jana Alhamisi katika makazi ya ubalozi mdogo wa Marekani yaliyopo katika mji huo mkubwa zaidi nchini Uturuki.
MIAMBA ya soka ya Italia, Napoli imeripotiwa kujiandaa kwa ajili ya kwenda kupeleka ofa huko Manchester United ili kunasa saini ya straika Rasmus Hojlund kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya ...
ISTANBUL, UTURUKI: GWIJI wa Chelsea, Didier Drogba amemtetea kocha Jose Mourinho kutokana na tuhuma za ubaguzi, huku akimwelezea Mreno huyo ni “baba” yake. Mourinho, ambaye kwa sasa ni Kocha wa ...
Jeremiah Francis, mmoja wa madereva wa mabasi yanayokwenda wilayani amesema vituo hivyo visivyo rasmi vimekuwa zikipakia abiria wengi, huku wao waliotii amri ya kwenda Mafiga wakikosa abiria na ...
Vijana wa Mikel Arteta, Arsenal pamoja na Inter Milan kwenye hatua hii ya 16 bora zitakuwa na safari ya kwenda Uholanzi kwani zinaweza kukutana na timu moja kati ya mbili kutoka nchi hiyo PSV ...
Baada ya kukutana na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan jana Jumanne, Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine alisema, “Ni muhimu kwamba majadiliano yoyote juu ya kumaliza vita hayafanyiki nyuma ...
QATAR: MWAKILISHI pekee Tanzania wa michuano ya Kimataifa, Simba itamenyana na Al Masry hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba wataanzania ugenini nchini Misri dhidi ya Al Masry ( ...