Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hosptali ya Wilaya ya Nachingwea, Emanuel Kambei amesema wanakishukuru Chama cha Ushirika cha Runali kwa kuwapatia vifaatiba kwa kuwa, wagonjwa walikuwa wanapata shida kwenda ...
"Nimeomba mashauriano ya WTO na serikali ya Marekani kuhusu ushuru wake usio na msingi kwa Canada," ameandika kwenye mtandao wa Linkedin. Siku ya Jumatano afisa wa WTO amethibitisha kuwasilishwa ...
SERIKALI ya Uturuki chini ya Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) lililopo Tanzania limetoa gari la kubebea wagonjwa ‘ambulance’ kwa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) yenye ...
Shirika la habari la serikali ya Urusi la Tass limeripoti kuwa mkutano huo ulifanyika jana Alhamisi katika makazi ya ubalozi mdogo wa Marekani yaliyopo katika mji huo mkubwa zaidi nchini Uturuki.
MIAMBA ya soka ya Italia, Napoli imeripotiwa kujiandaa kwa ajili ya kwenda kupeleka ofa huko Manchester United ili kunasa saini ya straika Rasmus Hojlund kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya ...
ISTANBUL, UTURUKI: GWIJI wa Chelsea, Didier Drogba amemtetea kocha Jose Mourinho kutokana na tuhuma za ubaguzi, huku akimwelezea Mreno huyo ni “baba” yake. Mourinho, ambaye kwa sasa ni Kocha wa ...
Kamwe amesema mbali na hizo washiriki pia, watapewa zawadi za simu na washiriki wanne watapata safari ya kwenda Oman na Hijja. Msemaji wa mashindano hayo Khamis Tembo amesema mgeni maalum Imamu kutoka ...
Vijana wa Mikel Arteta, Arsenal pamoja na Inter Milan kwenye hatua hii ya 16 bora zitakuwa na safari ya kwenda Uholanzi kwani zinaweza kukutana na timu moja kati ya mbili kutoka nchi hiyo PSV ...
Baada ya kukutana na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan jana Jumanne, Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine alisema, “Ni muhimu kwamba majadiliano yoyote juu ya kumaliza vita hayafanyiki nyuma ...
KUENDELEA kuwapo usumbufu wa abiria kila wakati kwenye vituo vya mabasi na ndani ya ... kutozwa nauli ya mtu mzima, anaeleza. "Hawatakiwi kubughudhiwa. Kwa kuwa shirika letu lina wanachama wake nchi ...
Imebainika kuwa barabara inayoelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga haikuwahi kuingizwa kwenye mpango wa bajeti ya Serikali, hali inayosababisha madhara kwa wagonjwa na watumiaji wengine wa ...
Kwa raundi za kitaifa: Nauli ya ndege ya daraja la Uchumi pamoja na nauli ya teksi. NTPC: Miaka 50 ya Ukuaji wa Nguvu Kwa miaka 50, NTPC imekuwa nguvu kuu nyuma ya ukuaji wa uchumi wa India. Tangu ...