Mtendaji wa Mahakama ya Tanzania Profesa Elisante Ole Gabriel anaeleza kwamba mashauri yaliyofunguliwa mwaka 2024 yalikuwa 242,284, yaliyoisha ni 245,310 na yaliyobakia ni kama 43,000, “hivyo unaweza ...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imewataka majaji, mahakimu na mawakili kutokuwa chanzo cha migogoro ndani ya jamii, kutokana na baadhi yao kudai kutotoa maamuzi yasiyo ya haki kwenye ...
MAHAKAMA ya Tanzania, imepokea dola za milioni 90 sawa na Sh. bilioni 230, zitakazotumika katika kukamilisha ujenzi wa mahakama tisa za Haki Jumuishi nchini. Hatua hiyo ni mafanikio ya kusikilizwa na ...
Oia anaiomba mahakama itamke kwa kuwapa uraia wachezaji hao ambao ni wadaiwa wa 4,5 na 6, waziri wa Mambo ya Ndani alikiuka ibara ya 26(2) ya Katiba ya nchi na kifungu cha 9(1) cha Sheria ya Uraia ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...