Samia katika kuhakikisha Watanzania wengi zaidi wanafikiwa na huduma ya nishati ya umeme. Aidha, alieleza kuwa, kutokana na jitihada hizo, Tanzania ilikua mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Barani Afrika ...
Alitumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wadau wa sekta ya uchukuzi kutoka Tanzania, Afrika Mashariki, Barani Afrika na ulimwenguni kutumia fursa hiyo kwa kushiriki kwenye mkutano huo muhimu. Rais wa Chama ...
"Washington kwamba hatozilinda nchi wanachama wa NATO ambazo hazitengi bajeti ya kutosha kwa ajili ya ulinzi," rais wa Marekani amewaambia waandishi wa habari kutoka Ikulu ya White House.
wakipata alama za juu katika ustawi eneo hilo kati ya nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani. Miongoni mwa sababu za vijana wa Tanzania kuwa imara katika afya ya akili ni kiwango kidogo cha matumizi ya ...
Kyiv inaendelea kukabiliana na mkanganyiko kufuatia mkutano wa siku ya Ijumaa katika Ikulu ya White House kati ya Rais Volodymyr Zelensky na Donald Trump, wakati ambapo Washington imeanza tena ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer jana Alhamisi alikutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya Marekani. Amesema Uingereza iko tayari kufanya wajibu wake kuimarisha makubaliano ya ...
Afisa mkuu wa Ikulu ya Marekani anasema anatarajia Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kutia saini makubaliano ambayo yataiwezesha Marekani kupata maliasili za nchi yake. Utawala wa Rais Donald ...
Dar es Salaam. Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) uliotoa agizo kwa Tanzania kufuta adhabu ya kifo iliyotolewa kwa Ladislaus Chalula na kumwondoa katika orodha ya ...
Picha iliyopigwa na kusambazwa na Angesom inawaonyesha wanaume na wanawake, wakiwa na alama ya blue nembo ya Umoja wa Mataifa ikiwaonesha wamesimama na ishara iliyoandikwa kwa mkono inayosomeka ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results