Mohammed Iqbal Dar, aliyebuni jina la Tanzania, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80 jijini Birmingham, Uingereza, ambako aliishi tangu mwaka 1965. Dar amefariki baada ya kuugua kwa takriban ...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, akiongea wakati wa kufunga mafunzo ya uongozi mdogo wa jeshi hilo katika ngazi ya Sajini na Koplo wilayani Hai mkoani kilimnjaro. Moshi. Mkuu ...
Makundi ya waasi, ikiwa ni pamoja na moja linalohusiana na jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati FACA, yametekeleza ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu katika eneo la Haut-Oubangui kusini mashariki mwa ...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali matukio ya utekaji wa wananchi wawili katika mikoa ya Dar es Salaam na Kigoma, matukio yanayotia shaka huku Jeshi la Polisi ...
Kundi la Hamas linatafuta kuhamia awamu ya pili, ambapo kundi hilo linatakiwa kuwaachilia mateka 59 waliosalia kwa mabadilishano ya jeshi la Israel kujiondoa kabisa kutoka Ukanda wa Gaza.
Hati ambayo shirika la habari la REUTERS limepata kopi inaelezea mapendekezo kwa wakuu wa ulinzi baada ya mkutano wa wataalamu wa kiufundi nchini Tanzania ... jana kusaidia jeshi la Kongo ...
Takriban watu 46 wamepoteza maisha baada ya ndege ya jeshi la Sudan kuanguaka katika eneo la makaazi nje kidogo ya mji wa Khartoum. Wizara ya afya Sudan imesema watoto ni miongoni mwa ...
Birth-related mortality is a major contributor to the burden of deaths worldwide, especially in low-income countries. The Safer Births Bundle of Care program is a combination of interventions ...
Mapigano ya takribani miaka miwili nchini Sudan kati ya jeshi la serikali, SAF na Vikosi vya Msaada wa Haraka, RSF, yamesababisha machungu na kugeuza baadhi ya maeneo ya nchi hiyo kuwa kama jehanamu, ...
Dar es Salaam. Benki kuu ya Tanzania (BoT) imesema haijawahi kufanya mazungumzo wala kutoa leseni ya kuruhusu kampuni ya Leo Beneath London (LBL) kufanya shughuli zake nchini kama taarifa za ...
Kundi hilo la madaktari wanaotoa misaada ya matibabu, linalojulikana pia kama MSF, limesema mapigano kati ya jeshi la Sudan na kikosi cha wanamgambo wa RSF yameongezeka ndani ya kambi hiyo ilioko ...
Baada ya kumuua kiongozi wake katika shambulio la ndege isio na rubani katikati ya wiki, jeshi la Kongo limeshambulia tena kundi la kujilinda la Twirwaneho huko Kivu Kusini siku ya Ijumaa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results