WATETEZI wa haki za mtoto wa kike wanawanyooshea kidole wabunge kwa kushindwa kumtetea, anayekandamizwa na Sheria ya Ndoa. Aidha, wanakosolewa hawakusimamia uamuzi wa mahakama wa kuitaka ... wa Jukwaa ...
2025 katika hafla ya kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani kwa watumishi wanawake wanaofanya kazi Mahakama ya Tanzania, Mkoa wa Dar es Salaam. Amesema kaulimbiu ya maadhimisho ya siku ya wanawake kwa ...
Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe. Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imeagiza kusikilizwa shauri la kikatiba lililokuwa limefunguliwa na Paul Kaunda, dhidi ya Spika wa Bunge na Mwanasheria Mkuu ...
Ikiwa majaji wataamua kuwa wana mamlaka katika kesi hiyo, wanatarajiwa kufanya vikao vya awali mbele ya mahakama haraka sana. Mahakama hii, mamlaka ya juu zaidi ya mahakama ya Umoja wa Mataifa ...
Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.
hivyo Mahakama inamwachia huru mshitakiwa. Kwa mujibu wa hati ya mashitaka ilidaiwa kuwa Januari 9, 2025 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia mtandao wa X wenye jina Maria Sarungi Tsehai, ...
alifungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu ya Tanzania kwa niaba ya watoto wote walio katika hatari ya kuingia kwenye ndoa za utotoni dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kupinga vifungu vya 13 na 17 ...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemhukumu kunyongwa hadi kufa mfanyabiashara Khamis Luwonga baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ...
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump, kuitengua amri yake ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya ICC. Sheria na Haki 07.02.2025 7 Februari 2025 Marekani yaiwekea vikwazo ...
Picha iliyopigwa na kusambazwa na Angesom inawaonyesha wanaume na wanawake, wakiwa na alama ya blue nembo ya Umoja wa Mataifa ikiwaonesha wamesimama na ishara iliyoandikwa kwa mkono inayosomeka ...