"Na niwaombe kipekee, tuongeze maombi zaidi kwa sababu yeye ndiye nembo ya taifa letu, ndiye Rais wetu ... viongozi wema." Oktoba mwaka huu Tanzania inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...