Dar es Salaam. Wataalamu wa Tanzania na wadau wa asasi za kiraia, wametoa mapendekezo ya njia za kudumisha ufadhili baada ya ...
SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza mabondia 15 wa timu ya taifa ya ngumi watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya ubingwa wa dunia kwa wanawake. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu ...
Aidha, alisema katika kikao hicho watatambulisha nembo ya chai ya Tanzania ili iwe rahisi kutambuliwa hata ikiuzwa nje ya nchi na kwamba wanaamini hatua hiyo itasaidia kukuza biashara ya zao hilo.
"Na niwaombe kipekee, tuongeze maombi zaidi kwa sababu yeye ndiye nembo ya taifa letu, ndiye Rais wetu ... viongozi wema." Oktoba mwaka huu Tanzania inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge ...
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Samatta jana aliisaidia timu yake ya Paok kupata pointi tatu muhimu baada ya kuifungia mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini Ugiriki ...
SHIRIKISHO la Soka la Cameroon (Fecafoot) liko katika mgogoro mkubwa na klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo, zikigomea ...
DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Burkina Faso kupitia washauri wa rais na madaktari bingwa, wamefika nchini Tanzania kuingia makubaliano ya kupata ujuzi wa matibabu ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya ...
Wanaume watatu, wameonekana hali yao ya afya ikiwa imeodhoofika na mifupa karibu kuonekana baada ya siku 491 ya kushikiliwa kwao mateka. "Hatuwezi kukubali picha za kutisha tulizoziona asubuhi ya ...
Serikali ya Sudan inatarajiwa kuundwa mara baada ya kuudhbiti mji mkuu Khartoum, duru za kijeshi zimeliambia shirika la habari la REUTERS siku ya Jumapili, siku moja baada ya mkuu wa jeshi Abdel ...
Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Maelezo ya picha, Tareq, mvulana wa ki-Palestina mwenye umri wa miaka 10, ameketi juu ya rundo la vifusi huko Gaza, akiwa amevalia suruali ya dangirizi, sweta na mkoba wa manjano. Dakika 3 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results