Skypeck anaongeza kuwa programu za ufugaji zilizopo Amerika Kaskazini na maeneo yote makuu ya kilimo cha hop zinalenga aina mpya za kubadilisha ladha na harufu, na kutafuta aina ambazo zinaweza ...
Pia liliripoti ugunduzi mpya wa mafuta na gesi asilia katika Bonde la Levant, ambalo liko katika Bahari ya Mediterania, "futi za ujazo trilioni 122 za gesi asilia yenye thamani ya dola za ...
Uwekezaji katika miundombinu, utofauti wa biashara, na biashara ndogo na za kati (SMEs) ndio msingi wa kufungua ukuaji na kusongesha maendeleo endelevu. Ripoti ya mpya kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi ...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza ...
NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amekaribisha kuundwa kwa serikali mpya nchini Lebanon na kuthibitisha kujitolea kwa jumuiya ya kimataifa katika kuhakikisha uadilifu wa ...
BAADA ya kupata pointi nne katika michezo miwili akiwa na TMA FC ya jijini Arusha, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema maendeleo hadi sasa sio mabaya kwake, licha ya kukiri ana ...
Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Miloud Hamdi amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo akitamba kuwa itaendelea kucheza soka la kuvutia, kupata matokeo mazuri na kutwaa mataji ya ndani kama ...
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema ili kukabili changamoto ya upungufu wa walimu wanatarajia kuajiri walimu wapya 200 wa masomo ya sayansi na hesabu, kujenga shule mbili ...
Kilio cha kikotoo kimekuwa kisikika kwa nyakati tofauti bungeni tangu Julai 1, 2022, Serikali ilivyotangaza matumizi ya kanuni mpya za kikotoo cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu kuwa ni asilimia 33 kwa ...
Independent Online, popularly known as IOL, is one of South Africa’s leading news and information websites bringing millions of readers breaking news and updates on Politics, Current Affairs ...
Miaka kumi iliyopita, maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yalitambua ukweli wa kimsingi; ushiriki wa wanawake ni muhimu kwa ajili ya kujenga ulimwengu ...