Amesema yanayoendelea nchini Congo si kwamba wananchi wake wanapenda, hivyo ni wajibu wa Watanzania na waombaji kuliweka Taifa mikononi mwa Mungu kwa maombi ili aghairi mabaya yote. Edmund amesema ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga ...