YouTube ilianza kama tovuti isiyo ya kiwango cha juu ya kushiriki video. Lakini katika kuadhimisha miaka 20, maudhui ya ...
Maafisa huko Kasika hawajatoa idadi ya waliouawa, na kuna matarajio machache au hata hakuna kabisa ya uchunguzi huru wa ...
Kama kuna msanii anadaiwa anapenda sana wanawake, basi ni Hemed PHD. Zaidi, alipenda kujinadi anapenda kujihusisha na wanawake tofauti kimahusiano na haipiti siku tatu bila kukutana na mmoja wao.
Dar es Salaam. Wasanii wa muziki wamekuwa na utaratibu wa kuzirudia nyimbo zao ambazo tayari zimetolewa na kuzifanya kwa mtindo mwingine 'Remix'. Kawaida remix hizo huhusisha zaidi kubadilisha verse ...
HADI katikati ya miaka ya 2000, Danny Msimamo alikuwa miongoni mwa marapa wakali katika Bongofleva akitambulika na wengi kama msanii mwenye uwezo wa kufikiri nje ya box na nyimbo zake nyingi ...
MWIMBAJI mashuhuri wa nyimbo za Injili Tanzania, Martha Mwaipaja, mbali na kukabiliwa na shutuma baada ya dadake, Beatrice Mwaipaja, kumshutumu kwa kutoijali familia yao licha ya mafanikio yake, sasa ...
Amesema yanayoendelea nchini Congo si kwamba wananchi wake wanapenda, hivyo ni wajibu wa Watanzania na waombaji kuliweka Taifa mikononi mwa Mungu kwa maombi ili aghairi mabaya yote. Edmund amesema ...
"Mgombea atarejesha fomu pamoja na picha ndogo,yaani 'pasport size' ambayo itatumika kwenye katarasi ya kura ikiwa atateuliwa kuwania nafasi aliyoimba,gharama za kuchukua fomu ni 150,000/=kwa nafasi ...
Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). (Picha na Ikulu) ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mia Mottley ambapo wamekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo ...