Adha, utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini hivi sasa unaelekea kwenye Vitongoji ambapo kati ya Vitongoji elfu 64 nchini Vitongoji elfu 34 vimefikiwa na nishati ya umeme. Dk. Biteko amesema matumizi ...
IMEELEZWA kuwa mashamba yasiyoendelezwa yamekua chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi wilayani Kakonko mkoani Kigoma ikiwemo mashamba ya kurithi ambayo hayana nyaraka zozote za umiliki Ofisa Ardhi wa ...
Dar es Salaam. Hatimaye majina 1,520 ya wafanyabiashara walio na sifa na vigezo vya kurejea katika Soko Kuu la Kariakoo yamewekwa hadharani. Sanjari na hilo, wafanyabiashara zaidi ya 366, ...
Milio ya risasi imesikika Jumatatu, Januari 27, hadi katikati mwa jiji la mji mkuu wa Kivu Kaskazini, huku kundi la M23 na vikosi maalum vya Rwanda vikiwa katika vitongoji kadhaa vya Goma.
Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Dk Biteko ameeleza kuwa serikali sasa imeanza kufikisha umeme kwenye vitongoji baada ya kukamilisha kufikisha huduma hiyo katika vijiji 12,318 nchini.
Mabadiliko hayo yanatarajiwa kuziba mianya ya rushwa, kuongeza ushiriki wa wajumbe katika mchakato wa kupendekeza majina ya wagombea, na kupunguza gharama za uendeshaji wa chama. Pia, mabadiliko hayo ...
Baada ya kuchelewesha ... ya kutoa majina ya mateka watatu wa kwanza ambayo ilipaswa kuachiliwa siku ya Jumapili ili kubadilishana na idadi kubwa ya wafungwa wa Kipalestina. Orodha hiyo ...
Kuwait: Deliveroo announced its sponsorship of Kuwait's largest-ever shopping festival, Ya Hala. Organized under the guidance of the Supreme Committee for National Celebrations, this 70-day event is ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results