Wapatanishi wa mazungumzo ya kusitisha mapigano na vyombo vya habari vya Israel sasa vinasema kuwa majina ya mateka watakaoachiliwa na Hamas yamepeanwa. Bado hatujaona orodha hiyo na hakujakuwa na ...
Makabidhiano ya madaraka kutoka Mwalimu Julius Nyerere kwenda Ali Hassan Mwinyi hadi Dk John Magufuli na Rais Samia Suluhu Hassan. Inatosheleza tafsiri kuwa chama kimevuka majaribu mengi ya nyakati.
Mchuano wa uchaguzi huo ulikuwa mkali, hasa kwa wagombea wawili; Lissu na Mbowe, wote waliwahi kuwa wabunge ... baina ya wafuasi wa pande hizo mbili. Uchaguzi huo uliohusisha nafasi ya Mwenyekiti, ...
Dar/Mikoani. Baadhi ya wadau wa siasa nchini, wakiwemo wanazuoni, wamepongeza marekebisho madogo ya Katiba ya Chama cha Mapinduzi (CCM), wakieleza yataimarisha uwajibikaji na kudhibiti tabia ya ...
Kama wiki iliyopita, mabadilishano ya tano yatafanyika katika maeneo mawili katika Ukanda wa Gaza kwa mfululizo, anaripoti mwandishi wetu huko Jerusalem, Michel Paul. Mateka watatu wa Israeli ...
Mkutano wa kilele wa pamoja kati ya EAC na SADC unafunguliwa leo Ijumaa, jijini Dar-es-Salaam, Tanzania, kuhusu mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mashirika ya kikanda ...
Wabunge wa Ujerumani hii leo wanatarajia kuupigia kura muswada tata wa sheria ya uhamiaji, siku chache baada ya kupitisha hoja ya marekebisho ya sheria za uhamiaji iliyopitishwa bungeni kwa ...
Maafisa wa Marekani wanafuatilia athari kwa usalama wa taifa baada ya uvumbuzi wa programu ya akili bandia (AI) ya China ya DeepSeek, kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha habari cha Ikulu ya White ...
Wabunge wa Ujerumani wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kupiga kura kwa mara nyingine Ijumaa, kuhusu hoja ya hivi karibuni iliyopitishwa na bunge inayotaka sheria kali zaidi ya uhamiaji. https://p ...
Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 6, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa ...
Mwanga wa matumaini umeanza kuchomoza, Wabunge kupitia Kamati ya Maji na Mazingira nao wameanza kupaza sauti juu ya ulazima wa Serikali kuanzisha NEMA kama Chombo cha Mamlaka. Mwenyekiti wa Kamati ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results