Akiichambua sera hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uwezo Tanzania, Baraka Mgohamwende amepongeza sera hiyo kwa kutambua mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi, na kijamii kama vigezo vya ...
Mkutano wa kilele wa pamoja kati ya EAC na SADC unafunguliwa leo Ijumaa, jijini Dar-es-Salaam, Tanzania, kuhusu mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mashirika ya kikanda ...
Johansen Josephat, Afisa Mawasiliano Kutoka Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na uboreshaji wa huduma ya afya kwa umma nchini Tanzania ametoa maoni yake kwa kueleza jinsi walivyoguswa.
Viongozi hao licha ya kutofafanua kuhusu ujumbe wa mawaziri wa Ulinzi na wakuu wa majeshi, wametoa salamu za rambirambi kwa DRC, Malawi, Afrika Kusini, na Tanzania kuhusiana na wanajeshi ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
Dar es Salaam. Wakazi wa Kinyerezi, Tabata na Ukonga imeelezwa wataondokana na adha ya kukosa maji iliyokuwa ikiwakabili baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ...
ni miundombinu muhimu ya nishati inayounganisha Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania na Ndola, Zambia. Lilijengwa mwaka 1968 kwa ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Zambia, ili kusafirisha mafuta ...
DAR ES SALAAM: Bilionea mtanzania, Mohammed Dewji, ametangaza sarafu ya kwanza ya kidijitali Tanzania ($TANZANIA), kwa lengo la kuifanya Tanzania kuwa kinara katika ...
Maji katika maeneo ya ardhi oevu, huweza kuwa ya chumvi, maji baridi au mchanganyiko wa maji baridi na chumvi. Lakini umuhimu wake ni upi?
Girl Talk delivered new single “Believe in Ya” on Wednesday, enlisting Grammy winner T-pain and Yaeji for the eclectic track. The song is crafted around cut samples from Change’s 1981 disco ...