HADHI ya Ligi Kuu Tanzania Bara iko hatarini. Misimu miwili iliyopita kulikuwa na malalamiko ya ratiba ya ligi kupanguliwa ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na ... Katiba ya chama ...
Sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi ulioufanywa na Tundu Lissu wa watendaji wa juu wa Chama cha Demokrasia ... muda au hajui vizuri Katiba ya chama hicho, kwani wana orodha yote ya ...
Mkuu wa shirikisho la watendaji wakuu wa kampuni zenye ushawishi nchini Japani anasema kuwa ushuru wa forodha uliowekwa na Rais wa Marekani Donald Trump ni tishio kwa mitungo ya usambazaji ya ...
She's spent 17 years in front of the camera, and now local actress Ya Hui is venturing into work behind the scenes too. On March 3, the 37-year-old announced with an Instagram Reel that she had ...
Hii ilichukua hatua ya Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo kuwaleta Raila na Ruto kwenye meza ya mazungumzo. Hili lilipelekea kuundwa kwa timu ya pande mbili - NADCO - ambayo iliunda ...
Leo Machi 12, chombo cha SpaceX, kitaanza safari ya wanaanga wa kundi la 10 kwenda kwenye kituo cha anga za mbali kikiwa na chombo Dragon. Uzinduzi wa safari hiyo utafanyika kutoka Kituo cha Anga ...
Special_Recognition,Bio,Years_Current,Years_Company,Years_Indirect,HQ_Location,Chief_Linkedin,Chief_Handle,Handle,Location,Channel_Revenue,Highest,Highest_Who,Report ...
JOTO la Uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linazidi kupana huku mafunzo kwa watendaji wa chama hicho tawala yakivurugwa. Hatua hiyo inatokana na tukio la kustaajibisha lilotolea juzi katika ...
Akieleza zaidi Februari 21, mwaka huu chama hicho taifa kiliandaa mafunzo maalumu kwa watendaji wa chama ngazi ya tawi na kata kwa gharama za chama lakini cha kusikitisha viongozi hao walitoa fedha ...
Balozi Dk Pindi Chana, Naibu Waziri, Dunstan Kitandula Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Hassan Abbasi pamoja na baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi zake.