JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imekumbwa na mgogoro, vita na mapigano hasa Mashariki mwa nchi, kwa miongoni ...
Mustakabali wa Gaza upo katika "taifa la baadaye la Palestina" na si katika udhibiti wa "nchi ya tatu", Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema Jumatano, Februari 5, saa chache baada ya Rais wa ...
Anarejelea hapa orodha ya misamaha ya kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani, iliyochapishwa mwishoni mwa mwezi Januari na Wizara ya Fedha ya Marekani. Mamlaka ya Kenya hata hivyo inakiri kwamba ...
(Fichajes - In Spanish) Mshambulizi wa RB Leipzig na Slovenia Benjamin Sesko, 21, anasalia kuwa nambari tisa katika orodha ya wachezaji ambao Arsenal inaweza kuwasajili msimu huu wa kiangazi huku ...
Wakati watu 900 wanafariki dunia kila mwaka kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa nchini, takwimu zimeonyesha kwa mwaka 2024, takribani watu 35,000 waling’atwa na mbwa huku Wizara ... kwa Tanzania peke yake, ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa Wizara ya Muungano na Mazingira, Tanzania inalenga kuingiza dola za Marekani bilioni 1 (takriban Sh2.4 trilioni) kila mwaka kutokana na biashara ya kaboni. Katika hotuba ...
WIZARA ya Fedha kupitia Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi(PPP) imefanya kikao kazi cha kupitia Marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi, pamoja na ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...