Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kusambaza picha za mjongeo zenye maudhui machafu, ambazo zimeunganishwa na majengo ya Shule ya Sekondari ya Baobab, hali ...
PAMBA Jiji gari limewaka baada ya kushinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi kwa timu hiyo iliyorejea katika ligi hiyo baada ya miaka 23 tangu iliposhuka mwaka 2001, lakini ...
TIMU ya Junguni United imeilaza Chipukizi United ya Mjini Chake Chake kwa kichapo cha mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliopigwa kwenye ... majira ya baridi 2025 limefungwa rasmi na ...
Rais wa Zanzibar ... Serikali iko tayari kushirikiana na madhehebu ya imani zote kuhubiri amani, kudumisha upendo na umoja ndani ya jamii kwa kuwa ndio msingi wa maendeleo katika kila nyanja. “Taasisi ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Jean-Pierre Lacroix, Mkuu wa Operesheni za Ulinzi ... DRC na hivyo “inakaribisha la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuwa na mkutano wa viongozi tarehe 28 mwezi huu wa Januari, halikadhalika kikao ...
Ikiwa tunaamini sampuli inayozunguka kwa sasa na ikiwa haitabadilika kufikia tarehe iliyopangwa kuzinduliwa, pasipoti ya pamoja kwa nchi tatu za Muungano wa Nchi za Sahel itakuwa ya kijani.
Baada ya kufika ofisi za chama Kisiwandui, Dk Mwinyi alizuru kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, akasaini kitabu kisha akasalimiana na wazee. Baada ya kumaliza shughuli ...
Amesisitiza kuwa Baraza lina jukumu muhimu katika kuunga mkono juhudi za Muungano wa Afrika (AU) za kupambana na ugaidi, zinazoongozwa na Afrika yenyewe kwa kutumia majawabu ya kiafrika Bi. Mohammed ...