Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kusambaza picha za mjongeo zenye maudhui machafu, ambazo zimeunganishwa na majengo ya Shule ya Sekondari ya Baobab, hali ...
PAMBA Jiji gari limewaka baada ya kushinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi kwa timu hiyo iliyorejea katika ligi hiyo baada ya miaka 23 tangu iliposhuka mwaka 2001, lakini ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Jean-Pierre Lacroix, Mkuu wa Operesheni za Ulinzi ... DRC na hivyo “inakaribisha la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuwa na mkutano wa viongozi tarehe 28 mwezi huu wa Januari, halikadhalika kikao ...
Ikiwa tunaamini sampuli inayozunguka kwa sasa na ikiwa haitabadilika kufikia tarehe iliyopangwa kuzinduliwa, pasipoti ya pamoja kwa nchi tatu za Muungano wa Nchi za Sahel itakuwa ya kijani.
The coup that last week toppled Zanzibar’s month-old government had ... and the 34-year-old sultan himself was hurrying toward asylum in Tanganyika. Okello quickly took to the radio, boasting ...
Amesisitiza kuwa Baraza lina jukumu muhimu katika kuunga mkono juhudi za Muungano wa Afrika (AU) za kupambana na ugaidi, zinazoongozwa na Afrika yenyewe kwa kutumia majawabu ya kiafrika Bi. Mohammed ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
"Ni kweli naendelea na mazungumzo na Tanganyika lakini hadi sasa bado hatujaelewena baadhi ya vitu," alisema Ninja. Kama atasajiliwa kwenye klabu hiyo, Ninja atakuwa amefuata nyayo za George Mpole, ...
“Kazi ya chama hiki imeelezwa kwenye ibara ya 5 ya Katiba ya CCM, ambayo ni kushinda uchaguzi kukamata dola ya ya Jamhuri ya Muungano na Zanzibar na Serikali za mitaa,” amesema. Amesema kwa sasa ...