CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jana kiliadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa mwaka 1977. Chama hicho kilianzishwa baada ya ...
Harakati ya kutafuta ukamilifu kupitia picha za mitandao ni changamoto kubwa, lakini kwa uaminifu na kukubaliana na nafsi zetu, tunaweza kupata uhuru wa kweli.
Chanzo cha picha ... mchakato wa Nairobi, ukiongozwa na Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Pia ulitolewa wito wa kufanyika kwa Mkutano wa haraka wa pamoja wa wakuu wa nchi za SADC na ...
Mahakama ya Juu ya Marekani jana Ijumaa ilishikilia uamuzi wa sheria ya serikali ya kupiga marufuku programu maarufu ya kubadilishana picha za video ... inakiuka haki za uhuru wa kujieleza.
WAKATI nchi ya Namibia ikiomboleza kifo cha Rais wa Kwanza wa taifa hilo tangu kupata uhuru wake, Sam Nujoma, mwonekano wake na kimo chake kama John Mwakangale, miongoni mwa sababu za kiongozi huyo ..
Nujoma alipigania uhuru wa Namibia na kufanikiwa ... Hiyo ni kuenzi harakati zake za kuikomboa Namibia kutoka kwa wakoloni. Kana kwamba haitoshi, Nujoma aliokolewa na baadhi ya maofisa wa juu wa Chama ...
Mahakimu, wanasheria na watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya wakiwa katika maazimisho ya wiki ya sheria iliyofanyika katika ofisi za Mahakama hiyo jijini humo. Mbeya. Chama cha ...
Lakini tangu wakati huo, nchi za Umoja wa Ulaya zimejitahidi kupata mwafaka juu ya hatua madhubuti za kupitisha. Mkutano mpya wa umepangwa mjini Brussels siku ya Jumatano Februari 5. Chaguzi ...
Siku ya Ijumaa, mawaziri wa mambo ya nje wa kambi mbili za kikanda tayari walijaribu kukubaliana ... Siku ya Alhamisi, Uhuru Kenyatta, rais wa zamani wa Kenya na mpatanishi wa mchakato wa Nairobi ...
Jumuiya hiyo ya BRICS inazijumuiya nchi za Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini. Mapema mwaka 2024 Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu pia zilijiunga katika Jumuiya hiyo ...
Tangu uhuru wa nchi hiyo mwaka 1960, Umoja wa Mataifa umeleta manufaa sana nchini DRC, ikiwa ni pamoja na kutumwa kwa operesheni tatu za amani ambazo kwa upande wake zimechagiza shughuli za ulinzi wa ...
Ofisi ya Haki za Binadamu ... mateka wa Kiyahudi walioachiliwa na wafungwa wa Kipalestina waliotolewa gerezani kama sehemu ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza. Msemaji wa ...