WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itapita kila halmashauri, wilaya, kata, vijiji na vitongoji na mitaa yote kuhakikisha kila mtanzania ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na ...