RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yatakayofanyika kitaifa Machi 8, 2025, mkoani Arusha. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Januari ...
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, kwenda kusimamia vyema magonjwa ya milipuko ili kuepusha nchi kuingizwa katika tahadhari (alert) na kusimamishwa ...
Dodoma – Tanzania's Chama Cha Mapinduzi (CCM) resolved to endorse President Samia Suluhu Hassan and Hussein Mwinyi as its presidential candidates for the Union Government and Zanzibar, respectively, ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli ... CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025 ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House leo Jumatatu Januari 20, 2025, punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa Marekani. Siku ya kuapishwa itajumuisha sherehe ...
Matoleo ya kwanza yatafanyika siku ya Jumapili, siku ambayo mpango wa usitishwaji vita yutaanza rasmi. Jukwaa la Familia za mateka lilithibitisha siku ya Ijumaa asubuhi kwa mwandishi wetu maalum ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, serikali itaendeleza majadiliano ya kisiasa na kuwajuza wanadiplomasia wote kila kitu kinachoendelea wakati wote wa kipindi cha ...
WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results