"Hatuwezi kukubali picha za kutisha tulizoziona asubuhi ya leo," Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambaye bado yuko Washington. Rais wa Israel ... Mazungumzo ya awamu ya pili yaliyoanza ...
Ni kweli uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025 umeleta maneno ...
Wamarekani Waarabu na Waislamu walishiriki katika kumrejesha Donald Trump Ikulu ya White House. Ingawa asilimia yao nchini Marekani si kubwa, ushawishi wao ulikuwa mkubwa kwa sababu kuu mbili: ya ...
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
TANZANIA na Burundi, zimeingia makubaliano ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza hadi Musongati, yenye urefu wa kilomita 282 itakayogharimu dola bilioni 2.154 sawa na Sh. trilion 5.6. Waziri ...
Ilipofika 1982 hadi 1985 nilikwenda kufanya kazi katika ubalozi wa Tanzania huko Washington DC ... Mkongwe huyo anafafanua kuwa mwaka 1987 Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi alimteua kuwa Naibu ...
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA ... bilioni 201 na kufikia ufanisi wa asilimia 132 kwa muda wa miezi sita tu. ‘’Mafanikio haya makubwa ya makusanyo ya kodi ni matokeo ya maamuzi ya serikali ya awamu ...
Nchi ya DRC inawakilishwa kwenye kikao hicho na Waziri wake Mkuu Judith Suminwa. Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama ...
Israel pia iliwaachilia zaidi ya ... awamu. Israel ilisema itawaachia huru Wapalestina 1,900 badala yake. Hamas pia iliwaachilia huru raia watano wa Thailand mnamo Januari 30, tofauti na mpango ...
na awamu ya tano ya kuachiwa kwa mateka imetekelezwa juzi Jumamosi. Lakini changamoto zinatarajiwa katika mazungumzo ya hatua ya pili, ambayo yanalenga kuleta usitishaji vita wa kudumu.
Hatua ya Trump kuondoa ufadhili; Wafanyakazi katika mashirika Tanzania wana siutafahamu Chanzo cha picha, Reuters Rais wa Marekani Donald Trump aliliambia gazeti la New York Post kwamba angependa ...