MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
SHEFFIELD FC ya England inatambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kama klabu kongwe kuliko zote duniani ambayo ...
“Tunaishukuru sana serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa maono yake ... wawili wa Tanzania na Burundi, ni kiwango cha juu na kupata fedha za kutekeleza mradi kupitia Benki ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Kizazi cha viongozi wapigania uhuru wa Afrika kimefungwa rasmi kufuatia kifo mwasisi wa Namibia huru, Sam Nujoma.
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa jijini Kinshasa anahudhuria kwa njia ya video kikao kinachowaleta pamoja wakuu wa nchi za ...
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo ...
Rais huyo wa Marekani ameongeza kuwa iwapo nchi hizo zitachukua hatua hiyo basi zitatozwa ushuru kwa asilimia 100 katika bidhaa zao, na pia hazitoweza ... katika awamu yake ya kwanza ya Urais ...
Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kiongozi wa mpito Ahmed al-Sharaa ameteuliwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa ... inataka kuimarisha nguvu yake ili kuharakisha mchakato wa ujenzi mpya.
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Januari ... iliyoundwa kuchunguza kuporomoka kwa jengo la Kariakoo na kufanya ukaguzi wa kina wa majengo yaliyopo katika eneo hilo imekamilisha kazi yake na ...
Kwa upande wake naibu waziri mkuu wa Tanzania na waziri wa nishati, Dkt. Doto Biteko, akiunga mkono kilichosemwa na Rais wake ameongeza kuwa "Sasa ni wakati wa kufungua uwezo wa nishati wa bara letu ...
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imesema kupanda kwa viwango vya ubora wa Ligi Kuu Bara kumetokana na mambo makuu manne. Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu ... wa ligi kila ...