Msimu mzuri wa kwanza wa kocha Arne Slot haungewezekana bila winga huyo mashuhuri kutoa maonesho ya kuvutia kila wiki. Kumekuwa na muda mchache wa kufikiria mustakabali wake na 'Wekundu' hao katika ...
kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo. Uteuzi huu umeanza rasmi leo, Ijumaa, Machi 7, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ...
Putin alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mgeni wake kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko, ...
Rais wa mpito Brice Clotaire Oligui Nguema alikuwa wa kwanza kuwasilisha ombi lake siku ya Jumamosi asubuhi. Aliongozana na mkewe Zita na umati mkubwa wa watu. Alitangaza kustaafu jeshini ...
Kupitia makubaliano haya, benki hizi zitatoa jumla ya Sh bilioni 185 katika awamu ya kwanza ya mkopo huu kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mkataba huo wa ushirikiano ulisainiwa siku ya jana ...
Waliokataa walitakiwa kurejea walikotoka, kwani Zanzibar haikuruhusu watu kutembea nusu uchi hadharani. Sheria hii ilikuwepo tangu enzi za utawala wa Sultani na ilisimamiwa kwa ukali wakati wa uongozi ...
“Hapa Tanzania mchezaji wa kwanza wa Kitanzania ninayempenda ni Mzize (Clement) ni kijana mdogo lakini ana kipaji kikubwa sana, kiukweli sioni kama atabaki Yanga kwa msimu ujao,” amesema Zambro. “Mimi ...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amefungua rasmi mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu wa G20, unaofanyika jijini Cape Town. Katika hotuba yake, Rais Ramaphosa ...
ni mateka wanne tu waliofariki ambao bado hawajarudishwa Israeli wakati wa awamu ya kwanza ya makubaliano hayo. Siku ya Jumamosi, Hamas iliwaachilia huru Waisraeli sita katika kile ambacho ...
Zanzibar inakabiliwa na changamoto ya uhaba ... Dk Amour pia amesisitiza umuhimu wa kuwajengea uwezo wahudumu wa afya katika ngazi ya jamii, kwani wao ndio wa kwanza kukutana na wagonjwa kabla ya ...
linaadhimisha miaka 20 ya Mkataba wa wa Udhibiti wa Tumbaku (WHO FCTC), amba oni mkataba wa kwanza wa kimataifa wa afya ya umma ambao umechangia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza matumizi ya tumbaku ...
Ironically, the parents asked Shauri to go live 7km away while they only lived 100 meters from the school. Dem wa Facebook envies Diana Marua's tears as Bahati showers her with gifts: "Inatosha" ...