"Wizara imejipanga kwa dhati katika utekelezaji wa kampeni hii, na mara baada ya uzinduzi tutaanza kutoa huduma hizo katika mkoa wa Pwani kuanzia kesho, huduma zitakazotolewa ni pamoja na utoaji wa ...
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka Watendaji wa Kata pamoja na wakuu wa usalama wa wilaya zote ndani ya mkoa huo, kuzingatia misingi ya haki, sheria na kanuni za utawala bora, ili ...
Hospitali hizo niDodoma, Tumbi iliyoko mkoa wa Pwani, Mount Meru iliyoko Arusha, Sekou-Toure iliyoko Mwanza, Songea iliyoko Ruvuma, Maweni iliyoko mkoani Kigoma na Hospitali ya Lumumba iliyoko ...
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha siku ya Alhamisi ...
Angola imetangaza jana jioni katika taarifa ya ikulu ya rais kwamba mazungumzo ya amani ya moja kwa moja yatafanyika Jumanne, Machi 18, mjini Luanda kati ya wajumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Na Asha Juma Chanzo cha picha, EPA Mazungumzo ya kuongeza muda wa usitishaji vita wa Gaza yameshindwa kufikia makubaliano, afisa mmoja wa Palestina ameiambia BBC, huku Marekani ikiishutumu Hamas ...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo akizungumza wakati wa sherehe maalum za mtandao wa Polisi Wanawake Geita. Geita. Mauaji ya wanawake yanayotokana na matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani ...
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Katibu Tawala Msaidizi, Mipango ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, unaotarajiwa kuanza Machi 17 hadi 20. Mkoa huo ndio wa mwisho ...
Katrina Kaif, embracing her spiritual side, recently visited Karnataka’s Kukke Shree Subrahmanya Temple after her Maha Kumbh trip. Katrina Kaif, one of Bollywood’s most adored stars, has been ...
Na Winfrida Mtoi Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa ...