Mkusanyiko wa ... ya baridi kali katika sehemu kubwa ya Japani na theluji nyingi katika pwani ya Bahari ya Japani na maeneo ya milimani. Mamlaka ya Hali ya Hewa inasema mji wa Minakami katika mkoa ...
Takriban watu 20 wameuawa na wengine kama 30 kujeruhiwa kufuatia wimbi la mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine usiku kucha Na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Getty Images Bofya hapa ili kujiunga ...
Shambulio moja katika Mkoa wa Donetsk ... makumi ya wanajeshi wa serikali na watu wenye silaha wanaomtii Assad, ambao wamejikuta katika mapigano kwenye majimbo ya pwani ya Latakia na Tartous ...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema maandalizi ya uwanja huo yamefikia asilimia 70 na wanatarajia kukamilisha kazi hiyo ifikapo Machi 20, ikiwemo kuunganisha miundombinu ya umeme.
Dar es Salaam. Ingawa Mkoa wa Dodoma ndio makao makuu ya nchi, wakazi wake bado wanahesabika kuwa miongoni mwa watu maskini zaidi nchini, takwimu zinaonyesha. Vivyo hivyo, kwa Mkoa wa Pwani, ambao ...
"Wizara imejipanga kwa dhati katika utekelezaji wa kampeni hii, na mara baada ya uzinduzi tutaanza kutoa huduma hizo katika mkoa wa Pwani kuanzia kesho, huduma zitakazotolewa ni pamoja na utoaji wa ...
Mhandisi Mkama Bwire amesema sababu kubwa ya kukosekana kwa maji kwenye jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani ni kuharibika kwa mtambo wa Ruvu juu. Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa ...
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Dk Alice Kaijage amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeleta matumaini kwa wananchi wanyonge kutatua migogoro ya ardhi, mirathi na ukatili ...
Imesema kununua na kuuziana umeme kwa nchi si jambo geni na Tanzania kwa muda mrefu imekuwa ikiununua uganda kwa ajili ya Mkoa wa Kagera, nchini Zambia kwa ... Dar es Salaam Morogoro, Pwani na Iringa ...
Lakini hii ina maana gani? "Miili ilipelekwa katika kambi ya kijeshi, kwenye kambi ya mkoa wa nne wa kijeshi. Miili ilipelekwa huko na mpaka sasa hivi, hatujui miili hii ilikwenda wapi ...
Mamlaka ya Ulinzi wa Pwani ya Taiwan inasema meli ya mizigo ikiwa na wafanyakazi wa China huenda imeharibu waya chini ya bahari katika kile inachoelezea kama shughuli nyingine ya "gray zone ...
Mjini Bukavu, wiki tatu baada ya waasi wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, kuuteka mji huo, watu wanauawa na nyumba kushambuliwa na majambazi wenye silaha karibu kila jioni. Kulingana na mashahidi ...