Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Songwe, Aden Mwakiondo amesema msongamano wa magari katika barabara inayotoka Mbeya hadi Tunduma ni pasua kichwa. Licha ya barabara hiyo kuanza kujengwa ...
Kutokana na kitendo hicho Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa, amewataka wananchi na watu wengine wenye tabia kama ya Mwakyoma kuacha mara moja, akisisitiza kuwa vyombo vya sheria ...
Musa Basuka (30) mkazi wa Kitongoji cha Manyanya katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Makongolosi Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua rafiki yake kwa ...
Angola imetangaza jana jioni katika taarifa ya ikulu ya rais kwamba mazungumzo ya amani ya moja kwa moja yatafanyika Jumanne, Machi 18, mjini Luanda kati ya wajumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Na Asha Juma Chanzo cha picha, EPA Mazungumzo ya kuongeza muda wa usitishaji vita wa Gaza yameshindwa kufikia makubaliano, afisa mmoja wa Palestina ameiambia BBC, huku Marekani ikiishutumu Hamas ...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo akizungumza wakati wa sherehe maalum za mtandao wa Polisi Wanawake Geita. Geita. Mauaji ya wanawake yanayotokana na matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani ...
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Katibu Tawala Msaidizi, Mipango ...
Ofisa Elimu wa Mkoa Kigoma Pauline Ndigeze Dk Lwabene amesema matokeo ya utafiti huu yatasaidia kufanya maboresho kwenye sera na sheria za elimu ambazo zitasaidia kuimarisha mfumo wa elimu nchini ili ...
Na Winfrida Mtoi Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa ...