Kutokana na kitendo hicho Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa, amewataka wananchi na watu wengine wenye tabia kama ya Mwakyoma kuacha mara moja, akisisitiza kuwa vyombo vya sheria ...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Adam Maro, amethibitisha kushikiliwa kwa wanafunzi hao leo, Februari 21, 2025, akieleza kuwa jeshi hilo lililazimika kutumia nguvu ya kadiri kuwadhibiti ...
Katika kuelekea siku ya ... wa kijinsia na limeleta mabadiliko kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita, ikiwa ni pamoja na mageuzi zaidi ya 1,500 ya kisheria yaliyopitishwa duniani kote ili kuendeleza haki ...
Katibu wa Siasa na Uwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya Christopher Uhagile akizungumza kuhusu taratibu za mazishi na hali ya majeruhi Mbeya. Wakati miili ya marehemu waliofariki kwa ...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria mkoani humo, pembeni kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Patrick Mwalunenge Mbeya. Chama cha ...
Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo kutoka jijini Mbeya iko katika uelekeo mzuri kutokana na nafasi iliyopo na kuwataka nyota wa kikosi hicho kuongeza umakini zaidi katika maeneo ya ulinzi na ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Wilbert imeeleza baada ya kupata taarifa za uwepo wa Kampuni ya LBL Mbeya Media Limited kuwa inajihusisha na biashara ya ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Wilbert imeeleza baada ya kupata taarifa za uwepo wa Kampuni ya LBL Mbeya Media Limited kuwa inajihusisha na biashara ya ...