Najaribu kupekua nyaraka za Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) sioni jina hili, bali kilichopo ni Mkoa ...
Fanoos inapoanza safari yake kuelekea nchi nyingine, inabeba mwanga na matumaini yaliyochochewa Tanzania, ikisambaza roho ya mshikamano ndani ya jumuiya ya Ismaili duniani. Safari ya Fanoos na Tamasha ...
Musa Naviye 31.01.2025 31 Januari 2025 Ripoti za utafiti wa kisayansi zimeafiki kuwa saratani za shingo ya kizazi hutokana na maambukizi ya virusi vya 'Human Papillomavirus' au HPV vilivyoko ...
Wakati wa uzinduzi wa ripoti ya AFMI 2024 Dar es Salaam, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba alipongeza Absa Group kwa kujitolea kukuza uwazi na ufanisi katika masoko ya fedha ...
Ameitaja mikoa ... na uzoefu wa wataalamu kutoka taasisi za Tanzania, hatuendi tu kujenga mfumo imara wa sekta ya afya, tunakwenda kuimarisha uhusiano wetu na kujifunza zaidi,” amesema Balozi Anne ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ... mameneja wa wilaya na mikoa. “Muda mwingine umeme hukatwa kwa matengenezo. Ni lazima tukubali hali hiyo ili kuepusha matatizo makubwa zaidi,” amesisitiza.
Serikali kupitia Wizara ya Fedha inatarajia kukusanya sh bilioni 100 kila mwaka kutokana na uwekezaji wa dola 20 milioni uliofanywa na kampuni ya ITHUBA Tanzania, iliyopata leseni ya miaka nane ...
"Vifungo hivi vyote vya upweke vilianza wakati Kamanda Mkuu wa Majeshi (CDF), mtoto mkubwa wa rais, alipotuma ujumbe wa Twitter akielezea nia yake ya kumkata kichwa Kizza Besigye na kumtundika ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara ... ili ...
Staa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao chake, Nagusagusa (2016) chini ya ...
Rais wa DRC Félix Tshisekedi siku ya Jumatano, Januari 15, 2025, wakati wa baraza la mawaziri lisilo la kawaida, aliiomba serikali yake ... na Rais Félix Tshisekedi kurejesha amani katika mikoa ...