Juhudi za Dickson Mbadame, mkazi wa Songwe kujinasua katika kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumbaka shemeji mwenye umri wa miaka 10, zimegonga mwamba.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya, amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuwalipa fidia wananchi wa Iboya, Kata ya Ihanda, mkoani Mbeya ili kuruhusu ujenzi wa barabara utakaosaidia ku ...