Makamu huyo wa zamani wa rais ... mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne iliyopita na ninaahidi ...
RAIS wa Marekani, Donald Trump, akiwa takribani wiki mbili katika IKULU ya White House, ameionya Jumuiya ya nchi zinazoinukia ...
Kikao hicho kimeanza hii leo Jumamosi jijini Dar es Salam nchini Tanzania kujadili suala la usalama na ile ya kibinadamu katika Mji wa Goma, Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini. Nchi ya DRC inawakilishwa ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote. Tuzo ...
Katika hafla hiyo ya chakula cha mchana, Rais Samia amezungumza mambo mbalimbali, huku akimtaka Waziri wa Biashara kuangaliwa suala la wageni kufanya biashara inayofanywa na wenyeji. “Haiwezekani ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza ... wadau wa masuala ya maendeleo ya nishati na fedha. Na leo wakuu wa nchi watakuwa sehemu ya mkutano huo. Wakuu wa nchi mbalimbali ...
Rais wa Marekani ... China na Afrika Kusini. Mapema mwaka 2024 Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu pia zilijiunga katika Jumuiya hiyo, huku Indonesia ikijiunga nao mwanzoni mwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa hilo, Sam Nujoma. Ametuma salamu za rambirambi kwa Wanamibia kutokana na kifo ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) ameongoza mkutano wa dharura wa wakuu wa ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
hatua iliyotokana na mapendekezo ya wajumbe wa mkutano huo waliokuwa wakijadili utekelezaji wa Ilani ya CCM. Wajumbe walipendekeza Rais Samia na Rais Mwinyi kuendelea na uongozi wao kutokana na ...